Are You Searching King Kerby – Ndoa Lyrics? You can read &Sing King Kerby – Ndoa Lyrics here. More than 10m Song Lyrics Available. Search Now…
King Kerby – Ndoa Lyrics
King Kerby
Uko kwa ndoa nami whoa whoa whoa Uko kwa ndoa name yeah yeah Wakikuita, wakiuliza Usiogope, kuwaambia Uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami Oooh Wakikuita, wakiuliza Usiogope, kuwaambia Uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami Ooh Bado hatujajuana lakini manze inasemekana, Kwamba mimi nawe, tunawezana Kwa hivyo njoo, tufunge biashara Nataka kuenda kwa mama, nataka kwa baba Nataka kupata Baraka kwa baba, you don’t even know How I be fighting for love every summer Natoa sadaka kwa Mola, furaha kwa moyo, Baraka, fanaka, faraja Nataka kuvuka daraja, vuka daraja, kutoka Nairobi Namanga Daresalaam to Kampala, Addis Ababa, Don’t see nobody, Half as amazing You see the vision, No competition Oooh Wakikuita, wakiuliza Usiogope, kuwaambia Uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami
