King Kerby – Ndoa Lyrics

Are You Searching King Kerby – Ndoa Lyrics? You can read &Sing King Kerby – Ndoa Lyrics here. More than 10m Song Lyrics Available. Search Now…

King Kerby – Ndoa Lyrics

King Kerby

Uko kwa ndoa nami whoa whoa whoa
Uko kwa ndoa name yeah yeah
Wakikuita, wakiuliza
Usiogope, kuwaambia
Uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami
Oooh
Wakikuita, wakiuliza
Usiogope, kuwaambia
Uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami
Ooh
Bado hatujajuana lakini manze inasemekana, Kwamba mimi nawe, tunawezana
Kwa hivyo njoo, tufunge biashara
Nataka kuenda kwa mama, nataka kwa baba
Nataka kupata Baraka kwa baba, you don’t even know
How I be fighting for love every summer
Natoa sadaka kwa Mola, furaha kwa moyo, Baraka, fanaka, faraja
Nataka kuvuka daraja, vuka daraja, kutoka Nairobi Namanga
Daresalaam to Kampala, Addis Ababa, Don’t see nobody, Half as amazing
You see the vision, No competition
Oooh
Wakikuita, wakiuliza
Usiogope, kuwaambia
Uko kwa ndoa nami, uko kwa ndoa nami

Watch King Kerby – Ndoa Lyrics Video

Watch Now

Leave a Comment